Saturday, January 14, 2012
KATIBA TZ
Mpaka sasa watanzania wengi hawaonyeshi uelewa wa msingi kuhusu katiba, nitoe wito kwa wanaofahamu vyema jambo hili, mashirika binafsi, dini na ya serikali pia vyombo vya habari vitoe kipa umbele katika kuwaelimisha wananchi juu ya jambo hili, itakuwa ni aibu kukusanya maoni toka kwa watu wasio na uelewa au wenye uelewa mdogo kuhusu jambo husika!
Saturday, January 7, 2012
THE WORLD ECONOMY STABILITY
The world economic stability will never be reached if there is a big economic gap between the developed and underdeveloped countries with the former exploiting unfairely the letter.
There wont be peace either if majority are still living below a standard, many useful tallents from underdeveloped countries have been lost in this way, we end up with unnecessary inter/intra personal wars insteady of fighting against natural callamity!
The major problem is selfishness "am the best than them" resulting into all kind of injustice! So it is untill we think of fairness and betterment not neccessarily equality to all is when stability will be attained!
(a call to developed countries is to have a fair busness with underdeveloped countries instead of relying on neo colonialism)
Uchumi wa dunia hauwezi kuwa imara na wala hakuwezi kuwepo na amani wakati wengi wanaishi katika umaskini mkubwa!
Ubinafsi ulio kithiri "mi ni bora kuliko wao" ndo msingi wa hili, inapelekea unyonyaji na ukoloni mamboleo kwa mataifa maskini.

THE TEACHING CONCEPTS
Teaching is said to be nothing if there is no learning, "likewise education is nothing if can not improve the society living standard"
(a message to underdeveloped countries-make a good use of relevant education for the betterment)
Ufundishaji haupo kama watu hawakujifunza, vivyo hivyo "elimu haina maana kama haiwezi kuipa jamii maisha bora"
(ujumbe kwa nchi maskini-fikirieni mifumo itakayo boresha maisha ya watu wenu, tatizo la ufisadi liko wazi sana, ni elimu pekee ndiyo itakayo tatua tatizo hili kama itasimamiwa vizuri)

Subscribe to:
Posts (Atom)