Saturday, January 14, 2012

KATIBA TZ

Mpaka sasa watanzania wengi hawaonyeshi uelewa wa msingi kuhusu katiba, nitoe wito kwa wanaofahamu vyema jambo hili, mashirika binafsi, dini na ya serikali pia vyombo vya habari vitoe kipa umbele katika kuwaelimisha wananchi juu ya jambo hili, itakuwa ni aibu kukusanya maoni toka kwa watu wasio na uelewa au wenye uelewa mdogo kuhusu jambo husika!

No comments:

Post a Comment